Mameya Matsui Kazumi wa Hiroshima na Suzuki Shiro wa Nagasaki wanaitaka serikali ya Japani kuhudhuria mkutano ujao wa Umoja wa Mataifa wa kupiga marufuku silaha za nyuklia kama mwangalizi. Mameya hao ...