Ripoti ya hivi majuzi kutoka chuo kikuu cha Makerere nchini humo iligundua kwamba zaidi ya thuluthi moja ya kuku na asilimia 50 ya nguruwe waliofanyiwa vipimo walikuwa na chembechembe za dawa hizo za ...
Uamuzi wa Serikali ya Trump kusitisha misaada ya kigeni iliyokuwa ikisimamiwa na Shirika la misaada la Marekani USAID imesambaratisha usambazaji na matibabu ya virusi vya VVU kwa nchi nane, ambazo ...
Wizara ya afya nchini Kenya imetangaza,Kenya pamoja na mataifa mengine 8 ya Afrika yatafaidi kwa kupata dawa mpya ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya Ukimwi,(VVU) ya Lenacapavir,kuanzia Januari mwaka ...
Afrika Kusini taifa lenye idadi kubwa zaidi duniani ya watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI limeingia kwenye orodha ya nchi za kwanza kunufaika na chanjo ya kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi, ...
Marekani imetangaza siku ya Jumanne (18.11.2025) kuzipatia Zambia na Eswatini dawa mpya ya sindano inayotumiwa kupambana na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ya Lenacapavir itakayoanza kutolewa wiki hii ...
Kwa mujibu wa ripoti ya Tume ya Umoja wa Mataifa, UNAIDS inayopambana na maambukizi ya ugonjwa huo, iliyozinduliwa nchini Afrika Kusini, hatua ya serikali ya rais Donald Trump, itasababisha maambukizi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results