Ukuaji wa kila mtoto unatofautiana haijalishi ni wangapi umelea au uliobarikiwa nao kama mzazi. Kila mtoto hukua kivyake na hakuna vile unavyoweza kusema kwamba aliyetangulia nilimfanyia hivi na naye ...