Ikiwa unahisi kama mshahara wako uko chini ya inavyopaswa kuwa, labda hauko peke yako. Katika maeneo kadhaa duniani, mishahara haijaongezeka licha ya kupanda kwa gharama za maisha. Kuongeza mishahara ...
Kuomba radhi kwa Waziri wa wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye hakusaidii kuondoa wasiwasi wananchi na wadau wa siasa na demokrasia juu ya uhalali wa matokeo ya uchaguzi nchini ...